Pilau mwenzie juice hasa ya ukwajuIssue kubalance maji na moto alafu pilau tamu ukishushia na bia.
basi inatoshaaa.. we jamani. ππNitakupa Moja π
Anhaaaa kumbe ndo hizo vitu zinaitwa pilau masalaNi simple sana Vishu
Maboko mwanzo mwanzo lazima yawepo mkuuTaratibu usije lipua mijumba ya watu, maana masela hatu chelewi kutoa boko
ni vizurisasa mimi hata mmoja sina.. kwaiyo nipo safe zaido eeh
labda unipe moyo wako kama wewe ni chapa shangazi πππni vizuri
Mchele unaivishwa kwa mvuke na mafuta sio mimaji.halafu hapo kapika kuku mzima na mchele kilo moja tu.maji yatahitajika kweli mkuu??Sasa hapo uongezi maji uo mchuzi wa kuku utaivisha kweli Michele na viazi
Ukweli kabisa, mwanamke anayejua kupika sana hua ni wasafi halafu watamu pia, na wanajua kupangilia vitu hata ndani,sijawai ona mwanamke anaejua pishi alafu yeye asiwe chakula kitamu
π π π π tatizo wanaume mnakuaga na mambo Mengi mkiwa mnafanya kazi.Kuna siku nimekaa home wife hayupo nikawa bored niko na kijana wangu akaniambia baba Leo tupike pilau
Nikajisogeza jikoni kilichotokea asee niliunguza mavitunguu na wali ukawa mweusi na rojo kama ugali wa kimbuli
Tuliishia tu kula nyama tukachukua na mkate na juice tukalala zetu
Lakini Bora ulijitahidi ππ»ππ»Kuna siku nimekaa home wife hayupo nikawa bored niko na kijana wangu akaniambia baba Leo tupike pilau
Nikajisogeza jikoni kilichotokea asee niliunguza mavitunguu na wali ukawa mweusi na rojo kama ugali wa kimbuli
Tuliishia tu kula nyama tukachukua na mkate na juice tukalala zetu