Jinsi ya kupika pilau tamu la Nazi

Mama wa hekaheka
Wali wa sikukuu ndo huoπŸ˜€
Asante kwa recipe mkuu. Ila ungetutegulia kitendawili cha ''pilao masala'' ni nini, sisi washamba wengine tungefurahi zaidi. Yaani inatengenezwaje ili iwe nzuri. Unachanganya nini na kwa kiwango gani.
 
Aaliyyah Kila siku unanisuprise na mapishi matamu matamu.
 
Umesahau unga. Kuna malaya nilimsikia akisema
 
Asante mamii kwa Uzi huu mtamu ulioleta nimekumiss mno nina long time sijaingia jamiiforum
 
Asante kwa recipe mkuu. Ila ungetutegulia kitendawili cha ''pilao masala'' ni nini, sisi washamba wengine tungefurahi zaidi. Yaani inatengenezwaje ili iwe nzuri. Unachanganya nini na kwa kiwango gani.
Unachanganya
Binzari nyembamba
Mdalasini
Pilipili mtamu kidogo
Iriki
Iliyosagwa kabisa Huwa natumiaga hii
 
Ni unga wa pilau ndio inaitwa pilau masala
Ndiyo najua mkuu.Ila nilikuwa nazungumzia recipe yake. Unajua pilau inakuwa pilau kutokana na pilao masala. Kwa mtu mgeni anayetaka kuitengeneze achanganye na kutwanga nini, kwa kiasi gani. Najua kuna za kununua pia lakini hazipatikani sehemu zote.
 
Kumbe watu mnaweza mpaka kupika pilau la nazi,hamsemi.. kumbukeni wimbo wa q chief anachokipata anagawana na wenzie. Ila sio nyie wakina mama cha uchoyo, mnaona mkitukaribisha sisi ndugu zenu tutanenepa kwa hayo mapilau yenu ya nazi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakusalimu ndugu yangu kipenzi.
 
Ndiyo najua mkuu.Ila nilikuwa nazungumzia recipe yake. Unajua pilau inakuwa pilau kutokana na pilao masala. Kwa mtu mgeni anayetaka kuitengeneze achanganye na kutwanga nini, kwa kiasi gani. Najua kuna za kununua pia lakini hazipatikani sehemu zote.
Ooh nitakuletea basi viungo vyote na namna ya kutengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…