Jinsi ya kupika rosti la mayai ya kuchemsha

Nimeipenda sana. Ila ukiweka picha itaongeza mvuto wa uzi.
 
nipo farkhina nilikuwa kwenye shangwe za birthday yangu jana, japo nilitegemea bonge la keki toka kwako

Owh happy birthday labda nimechelewa kuku wish....hope ulifurahia vizur

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tenaaaa, sio kila siku nyama kumbe ht mayai kwa roast yanaenda.

Asante kwa pishi
 
nipo farkhina nilikuwa kwenye shangwe za birthday yangu jana, japo nilitegemea bonge la keki toka kwako

Angel alikua wap kwani ....yy ndo alikua aliteremshe bongezz la cake sote tupate vijipande...lol
 
Owh happy birthday labda nimechelewa kuku wish....hope ulifurahia vizur

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

kikubwa ilikuwa kumshukuru Mungu kwa kuniweka hai na kunilinda, kiukweli nilifunga siku ya jana nikiwakumbuka yatima wajane na wagonjwa tuliozaliwa siku moja ambao hawakuweza kuifurahia siku yao ya kuzaliwa
 
Asante kwa pishi
Kichuo zaid ila tulikua hatuwek nazi
Tamu na wali
 
Mafuta ya kupikia chupa moja?! Are you serious?!
 
Hapa nimejaribu kwa nazi ya Azam...Sema nahofia naweza poteza funguo...Tumbo limeshangaa sana...THANKS GUYS FOR PROCEDURES...cto acha kujaribu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…