Jinsi ya kupika tambi

Hata tambi mtu hawezi kupika, hii kweli nikupatwa kwa mapishi
 

Ahsante mkuu
 
Inategemea na aina ya tambi ndugu.

Kama ni zile ndefuu, just kwa wewe vikate urefu unaotaka then weka kwenye sufuria. Tia maji kiasi, ama kama una nazi, weka sukari kiasi, chumvi kidogo, mafuta kiasi. Ichemke iive. Ipua ule

Kwa wewe beginner achana na viungo sijui hiliki....

Kama ni zile tambi zinaitwa pasta ndogondogo hivi.... Weka mafuta jikoni, yakipata moto ziweke hizo tambi zichemke kidogo, zikiwa za brown zitoe kwenye mafuta. Weka kwenye sufuria ingine, then weka sukari kidogo, chumvi kidogo,.... Weka maji kidogo.. Then weka jikoni. Baada ya muda mchache zitakua zimeiva.
Kama unatumia jiko la mkaa unaweza kupalia baada ya maji kwisha nawewe kuzigeuza kidogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umetisha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umetisha!

Mkuu nilihisi njaa usiku usiku. na mtaani kwangu magenge yanafungwa mapema.

Ikabidi niombe msaada kwa wadau na nilifanikiwa
 

Mkuu nilifanikiwa Ahsante sana
 
Mkuu nilihisi njaa usiku usiku. na mtaani kwangu magenge yanafungwa mapema.

Ikabidi niombe msaada kwa wadau na nilifanikiwa
Asa si ungenipigia nije kupika hapo one time
 
chukua tambi zako zioshe vizur weka kwenyesufuri tia maji chemsha weka karanga za kusaga na mafuta zinafaa kuliwa kwa wali au ugali teh!
 
 
Mahitaji
Tambi
Maji\maziwa\tui la nazi
Chumvi\sukari
Mafuta ya kupikia
Viungo mfano hiliki
Soseji

Chemsha maji\maziwa au tui la nazi kiasi jikoni weka hiliki,chumvi na sukari kidogo

Chukua soseji kata vipande vitatu,chomeka tambi kama inavyoonekana pichani,fanya hivyo kwa soseji zote.

Weka mchanganyiko wako wa tambi na soseji kwenye maji yaliyochemka jikoni

Tambi zikishalegea weka mafuta ya kupikia humo humo kisha pika au kaangiza kama kawaida mpaka msosi uive.

unaweza ongezea pia ujuzi kwa aina hii ya upishi
 

Jana nilikula [emoji115]kitu aiseeh..sema mimi yangu ilikuwa na nyama ya kusaga alooo

Nilichanganya viongo kama vitunguu nilikata julian,carrot pia julian,nyanya niliblend,hoho nilikata julian pia,soy source,black pepper aiseeh niliufurahia [emoji115]msosi sana kwa jana loh!!!

Natamani nipike tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…