jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanika nazi ikikauka unaitwanga afu unaipeleka mashine kusaga. Then unachemsha maji na kusonga kama unavyosonga ugali wa unga wa sembe au dona
ushawahi pika hii kitu mkuu...nataka kujaribu nipe feedback yake ...
Unaanika nazi ikikauka unaitwanga afu unaipeleka mashine kusaga. Then unachemsha maji na kusonga kama unavyosonga ugali wa unga wa sembe au dona
Inategemea na ukubwa wa tumbo la mlaji na njaa anayoitumikia