Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mbona vinakuwa vigumu tofauti na vile vya mtaani vinakuwa lainii na sukari yake hadi raha sema vinavutika km mpira.
Msinichoke mpishi mm
Mmmhu. Mi juzi juzi nlimpigia mtu usiku nkamuulizia visheti vya namba nane. Mie huita masheti. Nashkuru siku ya pili asubuhi kaniletea.
Sijui hata kavinunua wapi, havikua vizuri sana
Hahahaha visheti kutamani usiku alafu hadi hupiga simu? Mambo mazuri Nini? Lol
Hahahaha visheti kutamani usiku alafu hadi hupiga simu? Mambo mazuri Nini? Lol
Ngoja nijifunze kutengeneza Number 8. Kumbe Dili 🙂 🙂
Koh koh koh! Una maswali weyeeee! Hahaaaaa eti "mambo mazuri" nimeipenda hiyo Tafsida.
Alhamdulillah.
Halua ya bakhressa au alkidemy?