Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
guys nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu fulani wana IQ kubwa, yaani great thinkers compared to others.
sasa ni kitu gani kinachoweza kusababisha mtu kuwa na IQ kubwa kuliko wengine ?
and please lets suggest how to improve people's IQ's.