Jinsi ya kupona ww3(vita vya nyukilia) vinavyokuja siju chache..

BABA BOMBASTIC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
349
Reaction score
570
Habari za jumapili,

Leo sijaenda kazini nimepumzika,katika kupitia pitia mtandaoni nimeona mambo ambayo siku si nyingi yatajiri,kwanza ni vita vikubwa vya dunia ambavyo vitakuwa vya nyukilia,kama wewe ni mpenzi wa kutazama movies au series kuna movies nyingi sana zimetoka kwanzia 2019-2025 zinazozungumzia maisha baada ya ww3 kuna movies za Korea na kizungu baada ya kuzitazama zile movies kwa undani nimegundua kuna vita vya tatu vinakuja tena vikali mnoo.

Kama Leo umeangalia mtandaoni utaona marekani imeishambulia basement ya kutengeneza nyukilia ya Iran,na kama tujuavyo irani ina mataifa ambayo yapo nyuma yake,yalioekeza mabillions ya pesa kwenye mafuta.

RUSSIA
CHINA
INDIA hayo mataifa yanaifadhili irani kila kukicha,ma hayo mataifa yana bifu kubwa na marekani kidplomasia na kiuchumi.

Na Israel wanakanuni yao wanaita Samson option,hii ina maana kuwa hawaangamii wenyewe pia watakufa na wengine,kama usomaji wa biblia utagundua baada ya Samson kutobolewa macho nawafilist,walimuweka kwenye hekalu na kuanza kumkebei ndipo Samson alisukuma zile nguzo watakafa na wote waliokuwa kule ndani,basi Israel atakufa na sisi sote duniani.

Basi nakupa mbinu za kupona nyukilia wars..usipuuze ndugu zangu ebu tazameni wenzentu washaanza kutengeneza shelter,pia mitandao ya kijamii yote kuna video na picha wakionyesha wapo sites wanatengeneza.

1. KUEPUKA MAENEO YA HATARINI (TARGET ZONES)

Epuka miji mikubwa, viwanja vya ndege, kambi za kijeshi, viwanda vya silaha, miji ya bandari.

Hamia vijijini au milimani mbali na miji mikubwa.

---

2. ANDAA KITU CHOCHOTE KINACHOWEZA KUOKOA MAISHA

Vitu muhimu vya kuandaa kabla:

Chakula cha akiba cha miezi 3–12 (kama mchele, maharage, unga wa lishe, nafaka).

Maji safi (madumu, mitungi, maji ya kunywa na ya kuhifadhi).

Dawa muhimu: maumivu, vidonda, antibayotiki, iodine.

Mafuta ya taa/solar + vifaa vya mwanga (tochi, taa, betri).

Redio ya solar au ya kurushwa kwa mkono (kupokea taarifa).

Vifaa vya kujikinga na mionzi kama:

Mavazi mazito yenye kufunika mwili wote.

Barakoa ya gesi au N95.

Dawa ya Potassium Iodide (KI) (kupunguza sumu ya mionzi kwa tezi).

---

3. JENGA AU TAFTA MAHALI SALAMA (SHELTER)

Pata bunker, kifusi cha chini ya ardhi, au pango la mawe.

Kama huna kificho: Chimba handaki karibu na nyumbani kwa kina cha mita 1.5-2.

Funga milango, madirisha, na funika kwa plastiki na tape kuzuia mionzi.

---

4. SUBIRI MIONZI IPUNGUE

Baada ya nyuklia kulipuka, mionzi kali (fallout) huenea kwa masaa 24 hadi siku 14.

Usitoke nje kwa siku 14–21. Kunywa maji yaliyofunikwa, kula chakula kilichohifadhiwa.

Safisha mwili kama uliwahi kutoka (kuondoa vumbi la mionzi).

---

5. MAANDALIZI YA KIROHO NA KISAIKOLOJIA

Jifunze kutuliza akili kwa meditation, maombi, au sala.

Omba ulinzi kwa jina la Muumba wako, kisha jifunze kukubali hali.

Jiandae kisaikolojia kupoteza huduma za kawaida (umeme, hospitali, simu, internet).

Weka matumaini ya baadaye mpya. Miji inaweza kufa lakini maisha ya binadamu yanaweza kuendelea.

---
6. UNGANISHO NA JAMII

Ungana na majirani, familia au kundi la watu wenye mtazamo wa kuishi.

Weka mfumo wa kubadilishana bidhaa (barter) kama sukari kwa chumvi, dawa kwa vyakula n.k.

Jifunze mbinu za kujilinda, kutunza afya, na kusaidiana bila huduma rasmi.

..........Ni hayo tu jumapili njema wote humu............
 
Bosi mleta maada sisi tupo mbali sana. Sema kabda ndani yetu Tanzani ndiyo kuna tishio la hao waisojulikana kuuawa na kuanza mapigano ya sisi kwa sisi maana ukiangalia sasa hivi ni kama vile Dkt Sami na hivyo vikundi vinavyo msapoti havina uungwaji na vikosi vya serikali na maana yake vikosi vya serikali inabidi viwatafute na kuwaua hao pandikizi ndani ya mfumo wa serikali viawaue wote kwa njia zozote ili nchi irudi kwenye msingi wake wa uadilifu
 
Unajua nyukilia ikipigwa I natoa milnzi hiyo mionzi ni hatari sana,inauwa wanyama mimea na binadamu Africa tumepakana na hao middle east mionzi itafika tu tutakufa wote
 
Habari za jumapili,

Leo sijaenda kazini nimepumzika,katika kupitia pitia mtandaoni nimeona mambo ambayo siku si nyingi yatajiri,kwanza ni vita vikubwa vya dunia ambavyo vitakuwa vya nyukilia,kama wewe ni mpenzi wa kutazama movies au series kuna movies nyingi sana zimetoka kwanzia 2019-2025 zinazozungumzia maisha baada ya ww3 kuna movies za Korea na kizungu baada ya kuzitazama zile movies kwa undani nimegundua kuna vita vya tatu vinakuja tena vikali mnoo.

Kama Leo umeangalia mtandaoni utaona marekani imeishambulia basement ya kutengeneza nyukilia ya Iran,na kama tujuavyo irani ina mataifa ambayo yapo nyuma yake,yalioekeza mabillions ya pesa kwenye mafuta.

RUSSIA
CHINA
INDIA hayo mataifa yanaifadhili irani kila kukicha,ma hayo mataifa yana bifu kubwa na marekani kidplomasia na kiuchumi.

Na Israel wanakanuni yao wanaita Samson option,hii ina maana kuwa hawaangamii wenyewe pia watakufa na wengine,kama usomaji wa biblia utagundua baada ya Samson kutobolewa macho nawafilist,walimuweka kwenye hekalu na kuanza kumkebei ndipo Samson alisukuma zile nguzo watakafa na wote waliokuwa kule ndani,basi Israel atakufa na sisi sote duniani.

Basi nakupa mbinu za kupona nyukilia wars..usipuuze ndugu zangu ebu tazameni wenzentu washaanza kutengeneza shelter,pia mitandao ya kijamii yote kuna video na picha wakionyesha wapo sites wanatengeneza.

1. KUEPUKA MAENEO YA HATARINI (TARGET ZONES)

Epuka miji mikubwa, viwanja vya ndege, kambi za kijeshi, viwanda vya silaha, miji ya bandari.

Hamia vijijini au milimani mbali na miji mikubwa.

---

2. ANDAA KITU CHOCHOTE KINACHOWEZA KUOKOA MAISHA

Vitu muhimu vya kuandaa kabla:

Chakula cha akiba cha miezi 3–12 (kama mchele, maharage, unga wa lishe, nafaka).

Maji safi (madumu, mitungi, maji ya kunywa na ya kuhifadhi).

Dawa muhimu: maumivu, vidonda, antibayotiki, iodine.

Mafuta ya taa/solar + vifaa vya mwanga (tochi, taa, betri).

Redio ya solar au ya kurushwa kwa mkono (kupokea taarifa).

Vifaa vya kujikinga na mionzi kama:

Mavazi mazito yenye kufunika mwili wote.

Barakoa ya gesi au N95.

Dawa ya Potassium Iodide (KI) (kupunguza sumu ya mionzi kwa tezi).

---

3. JENGA AU TAFTA MAHALI SALAMA (SHELTER)

Pata bunker, kifusi cha chini ya ardhi, au pango la mawe.

Kama huna kificho: Chimba handaki karibu na nyumbani kwa kina cha mita 1.5-2.

Funga milango, madirisha, na funika kwa plastiki na tape kuzuia mionzi.

---

4. SUBIRI MIONZI IPUNGUE

Baada ya nyuklia kulipuka, mionzi kali (fallout) huenea kwa masaa 24 hadi siku 14.

Usitoke nje kwa siku 14–21. Kunywa maji yaliyofunikwa, kula chakula kilichohifadhiwa.

Safisha mwili kama uliwahi kutoka (kuondoa vumbi la mionzi).

---

5. MAANDALIZI YA KIROHO NA KISAIKOLOJIA

Jifunze kutuliza akili kwa meditation, maombi, au sala.

Omba ulinzi kwa jina la Muumba wako, kisha jifunze kukubali hali.

Jiandae kisaikolojia kupoteza huduma za kawaida (umeme, hospitali, simu, internet).

Weka matumaini ya baadaye mpya. Miji inaweza kufa lakini maisha ya binadamu yanaweza kuendelea.

---
6. UNGANISHO NA JAMII

Ungana na majirani, familia au kundi la watu wenye mtazamo wa kuishi.

Weka mfumo wa kubadilishana bidhaa (barter) kama sukari kwa chumvi, dawa kwa vyakula n.k.

Jifunze mbinu za kujilinda, kutunza afya, na kusaidiana bila huduma rasmi.

..........Ni hayo tu jumapili njema wote humu............
Mkuu umenikumbusha sekeseke la mwisho wa dunia 2000.

Chill out, hizo ni muvi. Don’t take into consideration to be reality
 
Back
Top Bottom