Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Wanaume..!
anapotokea mwanamke mbele yako, akajilengesha lengesha ili akunase na ukanasika unajionaje?
kuingia kwenye mtego wa mwanamke ambae hukumtaka huu ni udhaifu[emoji848]
wanaume sasahivi tunatongozwa kwa wingi kuliko tunavyotongoza!
unaweza kuishi na mwanamke karibu yako miaka miwili bila kumgusa?
utafanya nini ili mwanamke yeyote akose ujasiri wa kukutongoza kwa vyovyote?
mwisho kabisa: kama ilivyo wakati mwingne unatongoza mwanamke anakataa, wewe umeshawahi kumkataa mwanamke aliyekutongoza?
[emoji4][emoji4]
lengo la mada ni kwamba: nini kifanyike kuepuka vishawishi vya hawa viumbe?
maana si kwa mitego hii