Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
safiUsiwe romantic... usiwe muongeaji... usiwe entertainer ukiwa mbele yao... kuwa mbahili...
fanya haya ukiwa mbele ya mwanamke yeyote unayeona anatongozesha kwako!
Kufanya hivyo ataboreka mbele yako, atakosa cha kumvutia kwako na kukuchukulia poa na kukupotezea...maana anaweza akavutiwa au akatamani pesa zako, ucheshi wako, usmart wako n.k...