hapa utaratbu nshaupata ila kule ndio cjajua ...kama wapenda pesa kama hawa wa dar .ambao ata kijiko kikitoka znz wanaeza kukwambia ulipie laki bila hata chembe ya aibuVizuri zaidi ukienda ofisini wakupe utaratibu. Ila sidhani kama kuna ugumu, hasa Azam marine nilishawahi ona mtu akishusha mizigo ya hardware bandari ya Zanzibar kutoka Azam Marine
hapa utaratbu nshaupata ila kule ndio cjajua ...kama wapenda pesa kama hawa wa dar .ambao ata kijiko kikitoka znz wanaeza kukwambia ulipie laki bila hata chembe ya aibu
Word..hapa utaratbu nshaupata ila kule ndio cjajua ...kama wapenda pesa kama hawa wa dar .ambao ata kijiko kikitoka znz wanaeza kukwambia ulipie laki bila hata chembe ya aibu
Niliitoa Zanzibar kuleta Dar na sio tu baiskeli tulibeba blender, pasi na piece of pampers! kama hujapata ufumbuzi kesho naenda Dar from Zanzibar nikifika bandarini ntakuulizia ila useme hapa Quantity ya hayo mayai ili niulize direct questionhahaaa ...ulileta dar au ulipeleka znz
Unabahati ushukuru kuna watu wanapitaga na vyombo vya mahotelini wanachajiwa apo dar kweli adi kijikoHahahahahaha! kaka unaanza utani sasa mpaka kijiko? Nisha wahi safiri na baiskeli ya mwanangu na sija tozwa hata
Hahahahaah aisee hii kali wallahUnabahati ushukuru kuna watu wanapitaga na vyombo vya mahotelini wanachajiwa apo dar kweli adi kijiko
niulizie ndugu ...uko zanzibar ..kama unatakiwa ushuru au kawaida tu unashusha mzigo ...maana dar bandar ya apa ...ni pesa tuu cjajua na uko inakuajeNiliitoa Zanzibar kuleta Dar na sio tu baiskeli tulibeba blender, pasi na piece of pampers! kama hujapata ufumbuzi kesho naenda Dar from Zanzibar nikifika bandarini ntakuulizia ila useme hapa Quantity ya hayo mayai ili niulize direct question
jamaa alitumiwa tv ya lak 180k at kutoa apa bandarni anaambiwa alipe lak na 20 ...jamaa aligoma ..mpaka cku 2 ndio akaenda lipa 45kUnabahati ushukuru kuna watu wanapitaga na vyombo vya mahotelini wanachajiwa apo dar kweli adi kijiko