abby abdy
Member
- Oct 26, 2018
- 42
- 40
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa kusafirisha bidhaa toka Dar kwenda Zanzibar.
Sijajua kama bandar ya Zanzibar ina maushuruengi kama ya Dar au laa, mimi nataka kusafirisha mayai naya-park vizuri katika box nayafunga vizuri so yanakua packed kwenye boksi.
Ila nisaidieni jinsi ya kutoa mzigo hapo bandarini Zanzibar kama ni ngumu au ni rahisi kidogo.