Parrot_2024
Member
- Dec 16, 2017
- 63
- 28
Habari zenu wakuu,
Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kusafirisha mayai kutoka Dar kwenda Dodoma ntashkuru sana! Mm naishi Dodoma na kuna mtu nimempata anauza mayai Dar kwa jumla ila yy hafanyi packing, kwa hiyo siwezi kuvisafirisha hivyo...nahtaji company ama hata mabus wa usafirishaji wanojuwa jinsi ya kupack na kuhifadhi mayai ili yasivunjike na ifike salama mpaka Dodoma! I hope kama mtakuwa mnajuwa mnambie bei zake zikoje
Asanteni sana