Parrot_2024
Member
- Dec 16, 2017
- 63
- 28
Tafuta mabox madogo madogo,Kachukue lile Vumbi la mbao kwa warandaji,Anza kuweka vumbi chini kabisa ya box,panga mayai yanayoenea,weka vumbi juu yake,endelea kupanga kwa mtindo huo hadi juu.Weka tena Vumbi.Funga box au mabox,katika kuyapanga hakikisha hayagusani.Nenda Ubungo,katafute bus linaitwa First Choice,hawa huduma zao ni bora kuliko mabasi yote yaendayo Dodoma,hakuna cha Shabiby,kimbinyiko wala ABC,First choice (Apolo). wako vizuri Mno.Habari zenu wakuu,
Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kusafirisha mayai kutoka Dar kwenda Dodoma ntashkuru sana! Kuna mtu nimempata anauza mayai Dar kwa jumla ila yy hafanyi packing, kwa hiyo siwezi kuvisafirisha hivyo...nahtaji company ama hata mabus wa usafirishaji wanojuwa jinsi ya kupack na kuhifadhi mayai ili yasivunjike na ifike salama mpaka Dodoma! I hope kama mtakuwa mnajuwa mnambie bei zake zikoje
Asanteni sana
Asante sana kwa kunijibu mkuu ila samahani sijajieleza vzuri...mm ndo naishi Dodoma ndomna nauliza kma kuna watu wanafania hivyo huku Dar kwasababu aliyepo Dar yy anauza ila hafanyi packing ya long distance...hope umenielewaTafuta mabox madogo madogo,Kachukue lile Vumbi la mbao kwa warandaji,Anza kuweka vumbi chini kabisa ya box,panga mayai yanayoenea,weka vumbi juu yake,endelea kupanga kwa mtindo huo hadi juu.Weka tena Vumbi.Funga box au mabox,katika kuyapanga hakikisha hayagusani.Nenda Ubungo,katafute bus linaitwa First Choice,hawa huduma zao ni bora kuliko mabasi yote yaendayo Dodoma,hakuna cha Shabiby,kimbinyiko wala ABC,First choice (Apolo). wako vizuri Mno.
Yeye si anafanya biashara,mwambie hiyo njia au kama ana namna nyingine ya kupark.Nina imani anajua kila kituAsante sana kwa kunijibu mkuu ila samahani sijajieleza vzuri...mm ndo naishi Dodoma ndomna nauliza kma kuna watu wanafania hivyo huku Dar kwasababu aliyepo Dar yy anauza ila hafanyi packing ya long distance...hope umenielewa
Sawa konda wa first choice tumekusikiaTafuta mabox madogo madogo,Kachukue lile Vumbi la mbao kwa warandaji,Anza kuweka vumbi chini kabisa ya box,panga mayai yanayoenea,weka vumbi juu yake,endelea kupanga kwa mtindo huo hadi juu.Weka tena Vumbi.Funga box au mabox,katika kuyapanga hakikisha hayagusani.Nenda Ubungo,katafute bus linaitwa First Choice,hawa huduma zao ni bora kuliko mabasi yote yaendayo Dodoma,hakuna cha Shabiby,kimbinyiko wala ABC,First choice (Apolo). wako vizuri Mno.
Mayai mangap unataka kuyasafirisha?Habari zenu wakuu,
Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kusafirisha mayai kutoka Dar kwenda Dodoma ntashkuru sana! Mm naishi Dodoma na kuna mtu nimempata anauza mayai Dar kwa jumla ila yy hafanyi packing, kwa hiyo siwezi kuvisafirisha hivyo...nahtaji company ama hata mabus wa usafirishaji wanojuwa jinsi ya kupack na kuhifadhi mayai ili yasivunjike na ifike salama mpaka Dodoma! I hope kama mtakuwa mnajuwa mnambie bei zake zikoje
Asanteni sana
Firkiria kwanza kuhusu hiyo nia yako, maana watu wa Dodoma wanatumia mayai ya kienyeji na yapo kwa wingi.Habari zenu wakuu,
Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kusafirisha mayai kutoka Dar kwenda Dodoma ntashkuru sana! Mm naishi Dodoma na kuna mtu nimempata anauza mayai Dar kwa jumla ila yy hafanyi packing, kwa hiyo siwezi kuvisafirisha hivyo...nahtaji company ama hata mabus wa usafirishaji wanojuwa jinsi ya kupack na kuhifadhi mayai ili yasivunjike na ifike salama mpaka Dodoma! I hope kama mtakuwa mnajuwa mnambie bei zake zikoje
Asanteni sana
Wewe ambaye umezoea kupanda mwendo kasi.Kimara-Gerezani,hii haikuhusu.Siku ukijaaliwa kusafiri kwenda Dom.Ndiyo utaelewa namaanisha niniSawa konda wa first choice tumekusikia
Sipandagi mwendokasi dadaWewe ambaye umezoea kupanda mwendo kasi.Kimara-Gerezani,hii haikuhusu.Siku ukijaaliwa kusafiri kwenda Dom.Ndiyo utaelewa namaanisha nini
Pole mwanaume wa DarSipandagi mwendokasi dada
ntafute 0677533637 nkusaidie ..nnauzoefu na kusafirishaHabari zenu wakuu,