Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Fly Emirates
MCHUNGUZI HURU
Fika katika ofisi za ARAMEX mkabala na KAMATA - DSM, watakufikishia mzigo huko uendako
Ghalama ya mzigo hutegemea uzito wake (kg), na pia ujazo wake (dimensional weight L*W*H)
Mzigo utamfikia mlengwa ndani ya siku 3 - 7
kwa maulizo na ufafanuzi zaidi fika katika osisi yao
KARIBU