Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Wadau,
Nina rafiki yangu yupo London anahitaji kuagiziwa bidhaa za vinyago kwaajili ya biashara, hivyo kabla sijaenda kununua kwaajili ya kumtumia ningependa kufahamu gharama za kutuma mzigo zipoje kwa kilogram?
Kwa wale wazoefu wa kutuma bidhaa hizo au bidhaa zozote zile naombeni ushauri wenu, ni mambo yapi ya msingi ya kuzingatia kabla na wakati wa kutuma? na je, ni kampuni ipi nzuri kusafirishia ambao wanahuduma nzuri na pia wana gharama nzuri?
Asanteni sana