Jinsi ya kusafirisha vitu vya used kutoka ulaya na UK

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu wakuu
Naomba kwa mtu yoyote anayejuwa jinsi ya kuleta vitu vya used kutoka USA na UK na kuileta huku Tz. Iwe company or mtu binafsi anayesafirisha yoyote ile. Nimekuwa naona vitu vingi vya quality kama TV, Fridge, bedroom furniture, dinning furniture and vitu vidogo vizuri online kutoka website kama craigslist, gumtree na ebay kwa bei rahisi na nimevutiwa na hiyo biashara sana!
Kuna yoyote anayejuwa jinsi ya kusafirisha vitu ninavyoona online vinafaa kwa bei isiwe kubwa na kujuwa kabisa ushuru mpaka ifike TZ itakuwa bei gani?

Nawashkuru sana
 
Nimekuwa naona vitu vingi vya quality kama TV, Fridge, bedroom furniture, dinning furniture and vitu vidogo vizuri online kutoka website kama craigslist na ebay kwa bei rahisi na nimevutiwa na hiyo biashara sana!
Changamoto iko kwenye freight cost, iko juu kwa items zenye uzito mkubwa.
Waweza pitia hii thread yangu: www.bit.ly/101buy4me
Karibu
 
Changamoto iko kwenye freight cost, iko juu kwa items zenye uzito mkubwa.
Waweza pitia hii thread yangu: www.bit.ly/101buy4me
Karibu
Asante kwa kunijibu, kama ntahtaji nisafirishe TV tu freight cost yake pia itakuwa bei sana? Na tatizo ni weng wanouza vitu vya used hawafanyi dilivery ndo kitu kingine nachowaza
 
Kwamba ulaya na UK ni nchi tofauti una maanisha ulaya ni nchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abnormal wewe una itaji maombi
Kinachokuchekesha nn haswa? Ulaya na UK nchi tafauti kimekuchekesha nini! Kama hauna kitu cha maana kuongeia bora uniamaze
 
Asante kwa kunijibu, kama ntahtaji nisafirishe TV tu freight cost yake pia itakuwa bei sana? Na tatizo ni weng wanouza vitu vya used hawafanyi dilivery ndo kitu kingine nachowaza
Unaweza kufungua "anuani" yako mfano ya Marekani ambapo delivery itafanyika, na hao watakutumia popote ulipo duniani. Click hiyo link kwa maelezo zaidi. Shipping cost ndo tatizo, huwa ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…