Parrot_2024
Member
- Dec 16, 2017
- 63
- 28
Habari zenu wakuu
Naomba kwa mtu yoyote anayejuwa jinsi ya kuleta vitu vya used kutoka USA na UK na kuileta huku Tz. Iwe company or mtu binafsi anayesafirisha yoyote ile. Nimekuwa naona vitu vingi vya quality kama TV, Fridge, bedroom furniture, dinning furniture and vitu vidogo vizuri online kutoka website kama craigslist, gumtree na ebay kwa bei rahisi na nimevutiwa na hiyo biashara sana!
Kuna yoyote anayejuwa jinsi ya kusafirisha vitu ninavyoona online vinafaa kwa bei isiwe kubwa na kujuwa kabisa ushuru mpaka ifike TZ itakuwa bei gani?
Nawashkuru sana