Kibuje
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 292
- 286
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mjasiriamali ambaye afanya biashara mtandaoni. Juzi nimepata mteja ambaye anahitaji bidhaa tofauti na zile ambazo nimekuwa nikiziuza. Jamaa yupo California na anahitaji panzi. Yes, anahitaji panzi kwa ajili ya research yake. Swali ni Je, njia gani nzuri ambayo naweza kutumia kumtumia panzi hao ambayo itakuwa ya haraka kiasi kwamba anawahitaji wakiwa wazima.
Wenye uzoefu wa kutuma na kupokea mizigo kutoka America, nahitaji msaada wenu!!