Jinsi ya kusafirisha wadudu kutoka Tanzania hadi Marekani

Kibuje

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
292
Reaction score
286
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mjasiriamali ambaye afanya biashara mtandaoni. Juzi nimepata mteja ambaye anahitaji bidhaa tofauti na zile ambazo nimekuwa nikiziuza. Jamaa yupo California na anahitaji panzi. Yes, anahitaji panzi kwa ajili ya research yake. Swali ni Je, njia gani nzuri ambayo naweza kutumia kumtumia panzi hao ambayo itakuwa ya haraka kiasi kwamba anawahitaji wakiwa wazima.

Wenye uzoefu wa kutuma na kupokea mizigo kutoka America, nahitaji msaada wenu!!
 
senene
 
Unaweza dakwa hata na ngozi za panya. Utasikia kijana mmoja akamatwa na ngozi 5 za panya zenye thamni ya Tsh mil. 200.akisafisha kwenda marekan.

Chagua kusuka au kunyoa
🙂🙂🙂 duuh! hatari sana ii
 
Kwasasa mali asili hawatoi kibali cha kusafirisha kitu chochote hai,isipokua utaruhusiwa kukisafirisha kikiwa kimekufa,

Wanasema ni maruku ya rais,mpaka hapo watakaporuhusu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom