madmpol junior
Member
- Oct 13, 2018
- 8
- 4
KOROGET ni nini?Leo nataka kuambia dawa ya kuondoa ukungu au Taa kufubaa ni raisi sana chukua koroget nyeupe kisha pakaa taa baada ya dakika 5 uanze kusugua na kitambaa cha raini chenye pamba utaona mabadiliko by madimpol junior
Aina ya tezi la kutolea jashoKOROGET ni nini?
hahahahahaAina ya tezi la kutolea jasho
Hii ni lugha ya wapi mkuu?Nisawa rakini kumbuka ukungu usababiswa na joto linarotokana na grop kuchemka ususani Taa za bustar kwaiyo unapo safisha pia unatoa uchafu sugu utokanao na omande wa asubui + vumbi na joto la taa nazani umenisoma mkubwa