madmpol junior
Member
- Oct 13, 2018
- 8
- 4
Leo nataka kuambia dawa ya kuondoa ukungu au Taa kufubaa ni raisi sana chukua koroget nyeupe kisha pakaa taa baada ya dakika 5 uanze kusugua na kitambaa cha raini chenye pamba utaona mabadiliko by madimpol junior