Jinsi ya kusajili blog

Jinsi ya kusajili blog

youngin

Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
17
Reaction score
15
Habari za muda wana JF,

Binafsi ninataka kusajili blog inayotoa elimu kuhusu biashara. Nikaenda TCRA kwa ajili ya kusajili, nikajibiwa hadi niwe na kampuni ndio naweza sajili blog na sio mtu binafsi. Pia ninatakiwa kulipia tsh 1000,000 kila mwaka kwa ajili ya leseni.

Sasa nikawa najiuliza kusajili blog tu Hadi nikufungue kampuni! Na kila mwaka nilipie 1M, Nimeshangaa Sana, yaani hizi sera zinatufelisha Sana.
 
Ndo CCM yenu hiyo wanatunga sheria kuwabana ili wajinga wazidi kutawaliwa kwa kukosa elimu
 
Mimi huwa najiuliza eti mfano unapofungua youtube unaambiwa ulipie 1millioni, hivi anayetakiwa kulipwa kihalali kabisa ni serikali au youtube wenyewe?
 
Back
Top Bottom