mkuu sasa kama director hujapata kitambulisho cha taifa au director mmojawapo hajapata kitambulisho cha taifa, hapo itakuaje?Hatua ya kwanza unafungua akaunti brela Kwa kutumia kitambulisho cha taifa, kisha unafuata maelekezo kuna sehemu ya kuupdate
sasa mliwezaje kufungua/kusajili kampuni bila hivyo?mkuu sasa kama director hujapata kitambulisho cha taifa au director mmojawapo hajapata kitambulisho cha taifa, hapo itakuaje?
Habari, umeshakamilisha usajili wa Kampuni yako?Nakuja kwenu kuomba msaada, nataka kusaji jina la biashara/kampuni katika website ya Brela ila napata changamoto kwani naishia hatua ya awali tuu ya kuingiza email na taarifa zangu kama namba za kitambulisho cha taifa.
Nimekamilisha zoezi hili na kuambiwa kuwa taarifa zangu zimetumwa kikamilifu na kwamba nitapokea details kwenye email yangu , hapo sasa ndio mwisho wa zoezi kwani siku ya pili sasa hakuna email kutoka BRELA.
Kwa ambaye ameshafanya hili zoezi anipe uzoefu wake, wapi ninakwama?
Asanteni na karibuni kwa ushauri/msaada
Jamani vipi kuhusu mtaji?Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
-------------------------------------
Asante kiongozi nimeingia kwenye web ya Brela sielewe waheshimiwa hawajaweka Namba zao za simuNitakupm[emoji39][emoji39][emoji39]
Asante kiongozi nimeingia kwenye web ya Brela sielewe waheshimiwa hawajaweka Namba zao za simu
MTU Wa pili au watatu sio shida nataka kujia procedures very seriousKuanza kampuni nisawa na kuanza familia tu kama wewe ni me unatafuta ke mnakaa pamoja mna anza kupanga namna ya kuanzisha kampuni mbona kitu rahisi tuu
TIN inatolewa kwenye ofisi za TRA zilizo karibu na wewe, watembelee nduguutratibu wa kupata TIN kaka naomba unisaidie
Sijakuelewa, unazungumzia doc ipi?Mi inagoma kufunguka hii doc
Habari wakuu
Naomba kuuliza, hatua za kusajili organization ni sawa na kusajili kampuni?
Msaada tafadhali.
MTU Wa pili au watatu sio shida nataka kujia procedures very serious