Jinsi ya kusajili shule ya computer

Jinsi ya kusajili shule ya computer

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Habari za wanaJF,
1.Naombeni msaada wenu mimi nataka kuanzisha shulke moja makini tu ya computer. Basic Applications na Advanced applications je ni hatua zipi za kusajiri kwa mwenye ufahamu huo anisaidie!
2. Ni mkoa upi ambao unaweza ukanilipa sana kwa mambo ya computer?
shukrani kwa mchango wako!
 
bwana mzee kuwa makini sana na lugha kama unataka tuone upo serious
 
Sawa mkuu! nashukru sana kwa ushauri wako!
 
Back
Top Bottom