Logo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 588
- 48
Habari za wanaJF,
1.Naombeni msaada wenu mimi nataka kuanzisha shulke moja makini tu ya computer. Basic Applications na Advanced applications je ni hatua zipi za kusajiri kwa mwenye ufahamu huo anisaidie!
2. Ni mkoa upi ambao unaweza ukanilipa sana kwa mambo ya computer?
shukrani kwa mchango wako!