Kama picha inavyoonekana hapa juu, nimeseti hili game la Dream league soccer Simba SC mod vizuri lakini mwishoni kwenye hatua za kuanza kuplay linagoma na kuleta maneno Kama picha inavyoonekana hapa chini.
Je, tatizo Nini wakuu?
Mwenye uzoefu anipe msaada🙏🏿🙏🏿