Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Uzi umetulia kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio makinikia?madini matupu mzee
Exactly...Kongole mkuu
Kuna siku nimeingia shop ni Duka la viatu tupu,kuna mdada alinipa Sana ushirikiano katika kuniletea pea mbali mbali mwisho wa day,,,nikaona pea mbili zote nimezielewa nikawa sijui nichague ipi?
Mdada akaniambia broo chukua hiki hapa kimekupendeza kutokana na mwonekano wako,na sijajutia coz hata Mimi nimekielewa Sana,nikamwacha na hela ya soda kabisa.
Hapana mkuu, na pia hawawezi kukufanya mbaya maanake una mbinu mbadala za kushawishi.Hahaha kweli niende?, usije ukanitelekeza kwa waarabu wanfanye mbaya😆