Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

Nyie jamaa mnajipgia hela tu kwahiyo. Kwasabab nan hataki hela. WALAKINI NI PALE MTU ANAKUFUNDISHA KUPATA HELA LKN YY HIZO NJIA HATUMII WALA HAFANYI, why?
 
Nyie jamaa mnajipgia hela tu kwahiyo. Kwasabab nan hataki hela. WALAKINI NI PALE MTU ANAKUFUNDISHA KUPATA HELA LKN YY HIZO NJIA HATUMII WALA HAFANYI, why?
Mkuu mleta thread unamfahamu? Umejuaje kama na yeye ha bet kwa njia aliyo isema? Mganga hajigangi
 

HABARI
"Rakims,
Ndugu tamaa ya pesa ni kubwa na ni ya wengi sasa tafadhali Mtu asije kusema maneno hayo mara 200 mara PAAP kabadilika chatu.

LUMUMBA
 
Kamari ni mchezo wa kompyuta na ushindi wake unategemea codes na algorithms zilizowekwa na maprogrammer waliounda huo mchezo. Kama code inasema kwa mchezo fulani mchezaji wa milioni 2 na 999 ndiye atashinda jackpot hakuna jinsi ya kubadili unless u-hack source code yenyewe ukabadilishe. Na kwa vile huwezi kujua kama wewe ndo utakuwa mchezaji wa milioni 2 na 999 basi ni vigumu sana kubashiri.

Programmer mmoja kule Wisconsin mwaka huu alikamatwa kwa sababu alikuwa anajua source code zinasemaje na alikuwa anashirikiana na familia yake na marafiki ili kushinda jackpot.

Ingekuwa rahisi hivi kila mtu angekuwa anashinda na makampuni ya kamari ingebidi hata yafungwe...

 
😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…