Jinsi ya kushiriki kuichangia Yanga kupitia mpesa,tigo pesa na airtel money

Naona mnatafuta Kijanja Mtonyo wa kuwahonga Mbao FC Jumapili katika ASFC.
Ujinga mlioufanya kusababisha maisha ya erick ngwengwe kua mashakani na ujinga mliofanya kuwahonga kina wambura mnazani na Yanga inafanya hayo
 
Ujinga mlioufanya kusababisha maisha ya erick ngwengwe kua mashakani na ujinga mliofanya kuwahonga kina wambura mnazani na Yanga inafanya hayo

Yanga FC mnajulikana kwa Majungu yaliyotukuka.
 
Nj jambo la aibu tena fedheha kwa timu kubwa kama hii na kongwe ina karibu miaka 100 Ina rasilimali nyingi Ina mamilioni ya mashabiki inabebwa na chama tawala bado inatembeza bakuli? Mnazo za kuhonga ila kulipa wachezaji hakuna
 
Yaani kwa taarifa shallow hivi na utapeli uliopo, kweli watu wa Yanga watachangia? Ngoja tuone!
Tutachanga tu hakuna waswas na tunajua mtaiga tu si mda mrefu. Tulikua tunasubir kwa hamu huu utaratibu
 
wewe balili ni verified user? jambo kubwa kama hili mchangishaji ukae nyuma ya pazia, hatukuelewi
 
Huu ni ujinga sana wanashindwa kusimamia mapato yao wa nataka tuwachangie wakanunue mechi,mpira biashara sasa hizo ndimu za ovyo sana mm siwezi wachangiq hata mia
 
Huu ni ujinga sana wanashindwa kusimamia mapato yao wa nataka tuwachangie wakanunue mechi,mpira biashara sasa hizo ndimu za ovyo sana mm siwezi wachangiq hata mia
Sasa pesa yenyewe ya kula huna nani akuombe mchango wako...hii ni mahususi kwa wanachama wa Yanga na mashabiki wa YANGA we mbumbumbu hii haikuhusu
 
wewe balili ni verified user? jambo kubwa kama hili mchangishaji ukae nyuma ya pazia, hatukuelewi
Mkuu sichangishi Mimi ,kazi yangu Mimi kama mwanachama wa Yanga ni kuhamasisha watu wachangie...wanachangisha Yanga kupitia mtandao wa selcom
 
Hivi na timu kama R.M,Chelsea,B.M,Juventus,Kaizer chiefs,Orlando Pirates nazo zinaendeshwa kwa njia hii ya kutembeza bakuli???

Yanga si wanawadhamini kibao kama Tbl kupitia bia ya Kilimanjaro,Azam kupitia matangazo,Vodacom kupitia ligi na juzi nimesikia SportPesa ya Kenya wapo mbioni kuwamwagia fedha,sasa hizo zote zinaenda wapi mpaka waje kua ombaomba kiasi hichi?

Kwanini wasitumie brand name yao kutengeneza fedha za kutosha,wanashindwa hata kutafuta wadhamini kuingia nao ubia kujenga uwanja ambao utakua source nzuri ya mapato? Azam wao wameweza vipi?

WaTanzania ni wapi tulimkosea Mungu….
 

Kwa watu waishio nje wanawezaje kuchangia?
 

tutachanga, lakini pia tunaomba mchanganuo wa matumizi ya hizi pesa tunazochanga
 
mie nilishawahi kuwaambia mtengeneze vitu vyenu,fans club yenu t-shirts,mikoba,saa etc muuze,hivi mnadhania kuna mtanzania atatoa hela yake hivi hivi,hatuna utamaduni huo labda kwenye harusi,lol
Hivyo vitu vipo sema viongozi wanahujumu sababu ni club ya wanachama. Hapo cha kufanya ni kuweka mfumo wa kampuni. Mtu akinunua Hisa zake kama alivyofanya Mo hawezi kubali kuibiwa kipuuzipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…