Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutachanga tu hakuna waswas na tunajua mtaiga tu si mda mrefu. Tulikua tunasubir kwa hamu huu utaratibu
ngoja nichangie
yaan shombo za wana simba ndio zimenihamasisha nichangie hapa.
najua nao hawatavumilia wata iga tuu si mda
Wenzako wanaanzisha mikakati ya kujitegemea. Wewe unaendelea kulala usingizi na kumsubiri Mo. Siku ikikata kamba si itakuwa afadhali yanayotokea Yanga sasa. Maana wachezaji watakuwa walizoea kupiga mboga 8 (Draft) wakianza kupewa mbegu chuku chuku (Maharage) na ugali kutakuwa na Timu hapo Msimbazi?mtakula nyasi round hii
Awachangie nani nyie si wakimataifa?
Yanga yetu tunaichangia na harusi tutachangia. Tutaanza na harusi ya Haji Manara aliyeahidi kuoa endapo Simba Koko angechukua ubingwa.mie nilishawahi kuwaambia mtengeneze vitu vyenu,fans club yenu t-shirts,mikoba,saa etc muuze,hivi mnadhania kuna mtanzania atatoa hela yake hivi hivi,hatuna utamaduni huo labda kwenye harusi,lol
Mjini mambo ya kusaidiana hayapo yaani unafuga mbwa chakula unategemea kwa jirani??Wenzako wanaanzisha mikakati ya kujitegemea. Wewe unaendelea kulala usingizi na kumsubiri Mo. Siku ikikata kamba si itakuwa afadhali yanayotokea Yanga sasa. Maana wachezaji watakuwa walizoea kupiga mboga 8 (Draft) wakianza kupewa mbegu chuku chuku (Maharage) na ugali kutakuwa na Timu hapo Msimbazi?