Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo

Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.

NB:
Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.

Msisahau mrejeshoooooooo
YASIMAME ILI IWEJE! YAANI MNA SHIDA NYIE HALAFU KILA SIKU MNATUCHEKA VIBAMIA KUMBE NA NYIE MNA MATATIZO YENU
 
Wanawake wengi nyonyo zao zimelala wengine inatokana na sababu ya kunyonyesha na wengine ni maumbile yao tu ndivyo yalivo.
Kwa wewe dada ambaye nyonyo tits zimelala na unataka zisimame fanya haya yafuatayo

Kila siku usiku chukua alovera then ikate ili kupata ile gel baada ya hapo pakaa hiyo gel kwenye chuchu hakikisha unapakaza chuchu yote,fanya hivi daily hadi utapoona na kuridhika na matokeo.

NB:
Usifanye hivo ukiwa unanyonyesha sababu alovera ni chungu na ukali wake haupotei haraka hivo inaweza pelekea mtoto kukataa kunyonya so kama unanyonyesha subiri umalize kwanza ndo uanze kufanya hii kitu.

Msisahau mrejeshoooooooo
hasa ndugu mwanamke hamalizi kunyinyesha akilala mtoto ananyonya mwenye nyonyo yake hapo atasubiri sana. mi naona atafute njia mbadala
 
Hahaha we jamaa bana sipatii picha gallery yako ya simu ina hali gani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tafadhari sitaki kujua kabisaa [emoji847]
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Em tupia moja ya gudnit
02f5e40edea71866b450b998240464c3.jpg
 
Basi mashabiki zako walikuwa wanakuulizia sana, kila atae bahatika kuwahi siti yako lazima akutaje.. hana habari na mad
Nimerejea tena...ila kasi nimepunguza[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom