LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unataka kujua utakufa mwaka gani?
Unataka kujua umebakiza miaka mingapi kufa?
Huhitaji kwenda kwa babu. Unaweza kujua yote hayo kwa kutumia smart phone yako.
Unataka kujua inavyo kuwa? Just follow my lead
Step one : Chukua smart phone yako kisha angalia ina asilimia ngapi.
1. Kama asilimia ni kubwa kuliko umri wako basi utakufa pindi umri wako utakapo kuwa sawa sawa na asilimia hiyo.
Mfano una miaka 30 halafu simu yako ina asilimia 36 basi utakufa ukiwa na miaka 36.
2. Kama asilimia ni ndogo kuliko umri wako mfano wewe una miaka 30 na simu yako ina asilimia 25 basi chukua 30 toa hiyo 25 jibu utakalo pata ndio miaka uliyo bakiza. Kwa hiyo hapo umebakiza miaka mitano ya kuishi.
Jitahidi kutenda mema kwa sababu haujui utakufa lini.
Anyways based on this thread please comment miaka uliyo bakiza kuishi.