Mbona kuna vitu ina miss[emoji41][emoji41]Hii hapa mkuuView attachment 1117713
Kwako kina VVD hawakabi, wanaacha ukafunge tu.
Abiria chunga mzigo wako ππNimeona ulivyombana akabanika nimecheka leo
Hakika!Abiria chunga mzigo wako [emoji23][emoji23]
Vitu gan, na nn nifanye?Mbona kuna vitu ina miss[emoji41][emoji41]View attachment 1117722
Aseee ππMaana yake beki zangu kwako hazikabi.
VVD = Vigil van Dijk (Beki bora duniani kwa sasa).
Aseee ππ
Yaani uko romantic katika namna ya kibabe ππ
Hahaha, mimi najua wewe ni sports lady, hivyo tunaongea lugha moja.
Yeah,naona π
Sawa, ntajitahidi kuacha hizo za kuwataja mabingwa wa UEFA mbele yako.
ππππ
Hebu niache basi
Tusubiri comeback yetu hamtaamini