Jinsi ya kutag

Jinsi ya kutag

bonyeza B iko hapo juu baada ya ku highlight maneno yenyewe
Dah!aisee mkuu ubarikiwe kumbe njia ni rahis tu🤭lkn nakumbuka kipindi cha nyuma tulikuwa tunatumia ile njia nyingine ambayo kwangu ilikuwa inanitoa jasho😆😆
 
ile njia nyingine pia ilikuwa rahisi tu, ulikuwa una highlight then right click na una choose bold

mbona easy tu mkuu,,,ila tumia hiyo shortcut

halafu mwanzo nilidhani unatania nikasema acha tu nijibu huenda ikasaidia
 
Ahsante mkuu jje's kwakuwa umeendelea kuwa mkarimu na tunashauriwa kuwa ukiipata nafasi tuitumie swali la mwisho namna gani ya kuchanganya rangi kwenye maneno nimekua nikiona madoido ya maneno kwa rangi nyekundu,kijani na rangi nyengine
 
ile njia nyingine pia ilikuwa rahisi tu, ulikuwa una highlight then right click na una choose bold

mbona easy tu mkuu,,,ila tumia hiyo shortcut

halafu mwanzo nilidhani unatania nikasema acha tu nijibu huenda ikasai
Hahahhaahah!nilikuwa serious mkuu si umeona baada ya kujua nimeanza madoido🤣
 
Ahsante mkuu jje's kwakuwa umeendelea kuwa mkarimu na tunashauriwa kuwa ukiipata nafasi tuitumie swali la mwisho namna gani ya kuchanganya rangi kwenye maneno nimekua nikiona madoido ya maneno kwa rangi nyekundu,kijani na rangi nyengine
Nenda hapo kwenye hicho kinusu mwezi mbele ya letter T, uta highlight maneno unayotaka na kuchagua color unayotaka

kama hivi Chrisbleez
 
Uzuri mwanafunzi wako nipo vizuri kichwani Kwanza sikubali kushindwa😆😆😆
 
Sasa mkuu bado kuna changamoto moja namna ya kuchanganya rangi katikati
 
Back
Top Bottom