Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Cookie Smokie
Unajua kufundishwa na jinsia tofauti kuna mzuka fulani hivi, halafu unakuwa unajifanya hujaelewa ili aendelee kukufundisha kwa kubembeleza.
Hapana mpenziMr. Marangu umeamua kunicheka
Ndio mkuuKama hivi? Sakayo
Nakazia hapaKwa hiyo uliona uombe ID ya kike ikufundishe?[emoji34][emoji35]
Unajua kufundishwa na jinsia tofauti kuna mzuka fulani hivi, halafu unakuwa unajifanya hujaelewa ili aendelee kukufundisha kwa kubembeleza.
Mimi hukuniona eee?
Nakazia hapa
Sijui alielekezewa jukwaani sijui PM dah!
Yeye ndo alinifundisha mimi sasa wewe umeenda kumfata mwingine, kweli ni haki hii???
Kipindi hicho ulikuwa umepotea JF.
Yeye ndo alinifundisha mimi sasa wewe umeenda kumfata mwingine, kweli ni haki hii???
Kwa hiyo uliona uombe ID ya kike ikufundishe?[emoji34][emoji35]
Yeye kipindi hicho alikuwa mapumziko JF.
Ungenisubiri
[emoji23][emoji23][emoji23] naona mnajifunza kutag
Nasafisha macho kidogo...We jamaa si bado uko birthday, huku umefata nini?