Jinsi ya kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi

HAINA HAJA YA KUUMIZA KICHWA!.. JIUNGE VIFURUSHI KUPIGA MITANDAO YOTE!
usiumize kichwaaa mdau! unganisha vifurushi vipo hadi vya hero Mkuu
 
071
065
Hizo ni Tigo
emoji115.png

062 halotel

075
076
Voda

068
078
Hizi Airtel

077 TTCL
 
Hilo jambo la kutambua namba ip ni ya mtandao upi, ni karibu haliwezekani kwa sasa , kuna huduma inaitwa porting ilizinduliwa tokea mwaka jana mwez wa tatu kama sikosei ambayo inaruhusu mtu kuhama mtandao na namba yake yote, si ajabu siku hizi kukuta namba kama 0755xxxxxx halafu ikawa tigo,
Binafsi nilikuwa mteja wa tigo tokea mwaka 2001 na namba yangu hiyo ikawa ndio namba maarufu ninayotumia kwa biashara na deals kadhaa , ilipokuja porting nikahama na namba yangu yote 0713xxxxxx, kwenda halotel,
 
Nashukuru wadau. Mmenitoa kwenye giza hili nene nililokuwa.
 
Hilo jambo la kutambua namba ip ni ya mtandao upi, ni karibu haliwezekani kwa sasa.........

Nilisikia hilo ila sidhani mwamko na ufahamu ulikuwa mkubwa. Nadhani watu wengi bado wapo kwenye mitandao ile ile waliyokuwa wamechukulia namba.

HAINA HAJA YA KUUMIZA KICHWA!.. JIUNGE VIFURUSHI KUPIGA MITANDAO YOTE!
usiumize kichwaaa mdau! unganisha vifurushi vipo hadi vya hero Mkuu

Asilimia 99.99% ndiyo kifurushi changu hicho cha mitandao yote ndiyo maana nimeweza kudumu kwenye hili giza kwa muda mrefu ila kuna wakati najikuta nahitaji kujua.
 
Hilo jambo la kutambua namba ip ni ya mtandao upi, ni karibu haliwezekani kwa sasa , kuna huduma inaitwa porting ilizinduliwa tokea mwaka jana mwez wa tatu kama sikosei ambayo inaruhusu mtu kuhama mtandao na namba yake yote, si ajabu siku hizi kukuta namba kama 0755xxxxxx halafu ikawa tigo,
Binafsi nilikuwa mteja wa tigo tokea mwaka 2001 na namba yangu hiyo ikawa ndio namba maarufu ninayotumia kwa biashara na deals kadhaa , ilipokuja porting nikahama na namba yangu yote 0713xxxxxx, kwenda halotel,
Mobile Number Portability
 
Nahitaji msaada.

Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na mitandao yake?
TCRA haijajipanga, ni mkanganyiko tu mkuu kama masafa ya FM ya radio nchini. Kwa mfano masafa ya radio TBC Taifa ukiwa Dar ni tofauti ukiwa Tabora.
 
Hilo jambo la kutambua namba ip ni ya mtandao upi, ni karibu haliwezekani kwa sasa , kuna huduma inaitwa porting ilizinduliwa tokea mwaka jana mwez wa tatu kama sikosei ambayo inaruhusu mtu kuhama mtandao na namba yake yote, si ajabu siku hizi kukuta namba kama 0755xxxxxx halafu ikawa tigo,
Binafsi nilikuwa mteja wa tigo tokea mwaka 2001 na namba yangu hiyo ikawa ndio namba maarufu ninayotumia kwa biashara na deals kadhaa , ilipokuja porting nikahama na namba yangu yote 0713xxxxxx, kwenda halotel,
Naomba ufafanuzi/process za kuhama mtandao
 
Back
Top Bottom