t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Simple tu , unaenda kwenye ofisi za mtandao unaotaka kuhamia then unawaambia unataka kuhamia kwao , lkn halikisha unakohama hakuna deni, dk kumi nyingi namba yako ile ile inakuwa hewani kwa mtandao uliouchaguaNaomba ufafanuzi/process za kuhama mtandao