Simple tu , unaenda kwenye ofisi za mtandao unaotaka kuhamia then unawaambia unataka kuhamia kwao , lkn halikisha unakohama hakuna deni, dk kumi nyingi namba yako ile ile inakuwa hewani kwa mtandao uliouchaguaNaomba ufafanuzi/process za kuhama mtandao
Pia Airtel wana 069Tigo wana 067 pia
Voda wana 074
077 TTCL [emoji19] [emoji19] [emoji19]071
065
Hizo ni Tigo
062 halotel
075
076
Voda
068
078
Hizi Airtel
077 TTCL
0678 ni tigo??Anhaaa ni kweli
069065
067
069
071
[emoji115] Tigo
074
075
076
[emoji115] Voda
078
068
[emoji115] Airtel
077
[emoji115] Zantel
062
[emoji115] Halotel
073
[emoji115] Ttcl
Sawa069
068
078
Airtel
071
067
065
Tigo
073
Ttcl
062
Halotel
077
Zantel
076
074
075
Vodacom
Kwa anayehitaji lain ya Chuo ya mtandao wowote kati ya hzo juu njoo pm[emoji115][emoji115][emoji115]
0612 ni halotelMbona hamsemi 0614 au 0612 ni mtandao gani
VP 06140612 ni halotel
[emoji848]... Tuwangoje TcraVP 0614
VP 0614
Bonyeza hapa Mobile Number to MNO or Country Code unaingiza namba tatu za kwanza kupata mtandao gani wa simu au country codeNahitaji msaada.
Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na mitandao yake?