Jinsi ya kutengeneza bia nyumbani, isiwe gongo iwe na TBS

Jinsi ya kutengeneza bia nyumbani, isiwe gongo iwe na TBS

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,456
Reaction score
1,567
Habari wana JF.

Mwenzenuu nimeamua kupunguza safari za kwenda baa kunywa bia na sasa nahitaji kama kuna mtu anafahamu jinsiya kutengeneza bia nyumbani anifahamishe ili niwe natengeneza tu mwenyewe kwa matumuzi yangu binafsi kama inawezekana.
 
Kindi na kigali ushawahi kutumia? komoni je? utaweza kutengeneza kilusi weye?
Nijibu nikupe hints.
 
Roweka matunda yote kwa muda wa siku tatu bila yakuweka kwenye fridge ..chuja kunywa...
 
Kindi na kigali ushawahi kutumia? komoni je? utaweza kutengeneza kilusi weye?
Nijibu nikupe hints.

Labda unipe hints kwa zote halaf mimi nitaangalia iliyo rahisi kwangu.
 
Changanya maji na sukari au asali,na amira then funika vizuri kwenye kidumu kwa siku tano,.
 
Roweka majani ya rozela katik kidumu, tia ndimu kidogo, funga kwa muda wa siku Tatu...chuja na unywe. ukifa simooooo at your own risk...
 
Hayo majibu hapo juu yanaonyesha tusivyo na ufahamu. Kama hujui kachimbe umpe data.sio kubabaisha.kwani wanzuki ni bia?
Nakushauri u google beer recipe utapata
idea.
 
Huu ujuzi ungepatikana ungetupunguzia bajeti
 
Back
Top Bottom