Ngamba
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 750
- 151
nimejifunza kitu hapa so nimetengeneza yangu ya x-mass nategemea kuvuna kama kreti moja ya chupa za bia
1. lazima ujue kutengeneza malt
2.lazima ujue kutengeza marsh na kuipika vizuri pombe/viungo
3. mwisho uvumilivu inachukua takribani week 3 hadi 4 pombe kuwa tayali kuvunywa
1. lazima ujue kutengeneza malt
2.lazima ujue kutengeza marsh na kuipika vizuri pombe/viungo
3. mwisho uvumilivu inachukua takribani week 3 hadi 4 pombe kuwa tayali kuvunywa