Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Wanzuki unapendelea?
Kindi na kigali ushawahi kutumia? komoni je? utaweza kutengeneza kilusi weye?
Nijibu nikupe hints.
Duh! Umenikumbusha mbaliWanzuki unapendelea?
Kindi na kigali ushawahi kutumia? komoni je? utaweza kutengeneza kilusi weye?
Nijibu nikupe hints.
Roweka matunda yote kwa muda wa siku tatu bila yakuweka kwenye fridge ..chuja kunywa...
Roweka majani ya rozela katik kidumu, tia ndimu kidogo, funga kwa muda wa siku Tatu...chuja na unywe. ukifa simooooo at your own risk...