sixlove JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 563 Reaction score 393 Apr 8, 2018 #1 Hellow team, Naomba mwenye ufahamu jinsi ya kutengeneza juisi ya tende anielekeze hatua moja mpaka nyingine. Asante
Hellow team, Naomba mwenye ufahamu jinsi ya kutengeneza juisi ya tende anielekeze hatua moja mpaka nyingine. Asante
Hossam JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 3,544 Reaction score 2,169 Apr 8, 2018 #2 Kwa nini, nguvu zimeisha au masihara tu ma.nina!
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,300 Jul 10, 2018 #4 Mahitaji. Tende. Maziwa. Karanga. Habat soda. Asali... Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender . Ukichanganyika unatia Habat soda na asali .
Mahitaji. Tende. Maziwa. Karanga. Habat soda. Asali... Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender . Ukichanganyika unatia Habat soda na asali .
awamuyetu JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 327 Reaction score 164 Dec 10, 2019 #5 Jr. Gong Mira said: Mahitaji. Tende. Maziwa. Karanga. Habat soda. Asali... Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender . Ukichanganyika unatia Habat soda na asali . Click to expand... Asante mkuu, mie naomba kujua hizo karanga ni zile mbichi au zinakaangwa kisha zinasagwa? Tafadhali mkuu ongezea hapo, natanguliza shukrani nyingi
Jr. Gong Mira said: Mahitaji. Tende. Maziwa. Karanga. Habat soda. Asali... Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender . Ukichanganyika unatia Habat soda na asali . Click to expand... Asante mkuu, mie naomba kujua hizo karanga ni zile mbichi au zinakaangwa kisha zinasagwa? Tafadhali mkuu ongezea hapo, natanguliza shukrani nyingi