Jinsi ya kutengeneza juisi ya tende

Jinsi ya kutengeneza juisi ya tende

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
Hellow team, Naomba mwenye ufahamu jinsi ya kutengeneza juisi ya tende anielekeze hatua moja mpaka nyingine.

Asante
 
Kwa nini, nguvu zimeisha au masihara tu ma.nina!
 
Mahitaji.
Tende.
Maziwa.
Karanga.
Habat soda.
Asali...
Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender .
Ukichanganyika unatia Habat soda na asali .
 
Mahitaji.
Tende.
Maziwa.
Karanga.
Habat soda.
Asali...
Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender .
Ukichanganyika unatia Habat soda na asali .
Asante mkuu, mie naomba kujua hizo karanga ni zile mbichi au zinakaangwa kisha zinasagwa? Tafadhali mkuu ongezea hapo, natanguliza shukrani nyingi
 
Back
Top Bottom