Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua kugandisha kwa aina mbili moja unayachemshaa alaf unayaweka kwenye chombo yanapoaa na kuyaacha kama siku mbili au tatu utakuta yamejiteng ile cream imepanda juu chini yanakuwa waji sasa hapo unapunguza yale maji na kubakisha kidogoo na kuyakoroga hapo mtindi utakuwa tayari,
Ila ukitaka mtindi uwe mzuri sanaa pale ambapo maji yatajitenga unatoa maji unaweza weka maziwa fresh alafu unayaokoroga hayo yatakuwa mazuri zaidi
Njia ya mwisho kabisa unaweza gandisha bila yachemsha kabisaa maji yakijitenga unapunguza na kuyakoroga kama kawaidaa
Nb kwa ushauri uyachemshe yatakuwa vizuri zaidi
Chemsha maziwa yachemke vizuri, ipua yapoe kiasi yawe ya vuguvugu chukua maziwa mgando sehemu yoyote vijiko viwili changanya na maziwa uliyochemsha kama ni lita moja koroga yafunike kesho, koroga yatakuwa yameganda vizuri na ni mtindi mtamu sana.
Najua kugandisha kwa aina mbili moja unayachemshaa alaf unayaweka kwenye chombo yanapoaa na kuyaacha kama siku mbili au tatu utakuta yamejiteng ile cream imepanda juu chini yanakuwa waji sasa hapo unapunguza yale maji na kubakisha kidogoo na kuyakoroga hapo mtindi utakuwa tayari,
Ila ukitaka mtindi uwe mzuri sanaa pale ambapo maji yatajitenga unatoa maji unaweza weka maziwa fresh alafu unayaokoroga hayo yatakuwa mazuri zaidi
Njia ya mwisho kabisa unaweza gandisha bila yachemsha kabisaa maji yakijitenga unapunguza na kuyakoroga kama kawaidaa
Nb kwa ushauri uyachemshe yatakuwa vizuri zaidi
Mie Huku niliko Hata hamira siijui inaitwaje kwahiyo huwa nashindwa kupika biriani kwa Kuwa hakuna mtindi,nashukuru umenisaidia,je maziwa hayo ya L 1,natakiwa niyaache yachemke kabisa au uvuguvugu?mkuu hayo maziwa yanakuwa yameoza sio kuganda! maziwa yakugandishwa ni lazima uweke kigandishio /amira hii ni maziwa yaliyo ganda. njia nyingine chukua maziwa lita moja mfano toa nusu kikombe , chemsha hayo yaliyobaki kisha yakipoa weka yale nusu kikombe ambayo hayakugandiswha hapo ni kama huna maziwa yaliyoganda kabla. usiache maziwa yakaganda yenyewe unakula muozo na usigandishe maziwa mabichi jitahidi kuchemsha kwanza
kiongozi ukitaka maziwa yawe mazuri na harufu nzuri hakikisha yanachemka haswa ikiwezekana tumbukiza kisosi kwenye sufuria unayochemshia kuzuia yasimwagike yanapopanda juu ,hiyo itasaidia maziwa yaive vizuri na kuondoa shombo yya asili ya maziwa. baada ya apo yapooze au uyaache yapoe yenyewe yakisha poa ndo weka iyo amira.Mie Huku niliko Hata hamira siijui inaitwaje kwahiyo huwa nashindwa kupika biriani kwa Kuwa hakuna mtindi,nashukuru umenisaidia,je maziwa hayo ya L 1,natakiwa niyaache yachemke kabisa au uvuguvugu?
Pia Ni muda gani natakiwa niyaache baada ya kuongezea kile nusu kikombe.
Nalog off
Nashukuru sana kiongozikiongozi ukitaka maziwa yawe mazuri na harufu nzuri hakikisha yanachemka haswa ikiwezekana tumbukiza kisosi kwenye sufuria unayochemshia kuzuia yasimwagike yanapopanda juu ,hiyo itasaidia maziwa yaive vizuri na kuondoa shombo yya asili ya maziwa. baada ya apo yapooze au uyaache yapoe yenyewe yakisha poa ndo weka iyo amira.
Kuna vitu bado sijaelewa araway. Hayo mgando unayoweka kwenye fresh yaligandaje mwanzo?
Pili elimu kdg nilionayo juu ya maziwa inanambia yanaganda yenyewe kutokana na bakteria wanaoyafuata. Unachoita kuoza ndo kuganda kwenyewe (yakikaa sana katika hali ya mgando ndo yanaoza kiukweli). Tafadhali saidia hapa.
Unaweza kutumia hamira kugandisha, ukisha yatumia unabaikiza kiasi kidogo ili hayo uliyogandisha kwa hamira utumie kugandisha mengine utakauo chemsha, pia unaweza kutumia maziwa mgando yanayogandishwa viwandani ndio youghut hiyo kugandisha maziwa yako. Maziwa ukichemsha na kuyaacha yagande yenyewe huwa yanaoza kwa sababu hata harufu yake huwa si ya maziwa ya mgando bali harufu inayo kera na hayo maziwa pia huwa na mabonge ambayo hata ukiyashika na kuyabonyeza na vidole hayalainiki kama mgando yanakuwa kama rangi iliyoganda.
Kuna kitu kinaitwa yoghurt. Je ndio maziwa mgando hayahaya?
Nini tofauti ya maziwa mtindi, maziwa mala na maziwa mgando? Mala nadhani hutumika zaidi Kenya.
Chukua maziwa fresh yakamulie limao
Happy New Year Bro. long time no seekiongozi ukitaka maziwa yawe mazuri na harufu nzuri hakikisha yanachemka haswa ikiwezekana tumbukiza kisosi kwenye sufuria unayochemshia kuzuia yasimwagike yanapopanda juu ,hiyo itasaidia maziwa yaive vizuri na kuondoa shombo yya asili ya maziwa. baada ya apo yapooze au uyaache yapoe yenyewe yakisha poa ndo weka iyo amira.
Yoghurt ni yoghurt,Kuna vitu bado sijaelewa araway. Hayo mgando unayoweka kwenye fresh yaligandaje mwanzo?
Pili elimu kdg nilionayo juu ya maziwa inanambia yanaganda yenyewe kutokana na bakteria wanaoyafuata. Unachoita kuoza ndo kuganda kwenyewe (yakikaa sana katika hali ya mgando ndo yanaoza kiukweli). Tafadhali saidia hapa.
Kuna kitu kinaitwa yoghurt. Je ndio maziwa mgando hayahaya?
Nini tofauti ya maziwa mtindi, maziwa mala na maziwa mgando? Mala nadhani hutumika zaidi Kenya.
Yoghurt ni yoghurt,
Maziwa mgando ni buttermilk