Jinsi ya kutengeneza maziwa ya mgando

Jinsi ya kutengeneza maziwa ya mgando

Nashukuru. Hebufafanua kulingana na uandaaji wake. Kiswahili Yoghurt ni nini?

Sijui kiswahili chake nadhani ni mgando hivyo hivyo, na utengenezaji wake unahusisha maziwa mgando na flavors zingine, yani tuseme maziwa mgando yenye ingredients nyingi nyingi ndani yake, ukitaka plain maziwa mgando ni "buttermilk"
 
Asante ila nahisi sijaridhika na hilo jibu. Sijui kwanini......
 
C kuyagandisha mkuu
 
Mziwa mgando ndio yanayoitwa maziwa lala, maziwa chacha. Yogurt ni maziwa mgando(cream ya juu) unaweka fruits kisha unablend kupata flavor na rangi.

Maziwa yakioza ndio yameganda ila usiruhusu yaoze sana maana yatakuwa yamedevelop funza/minyoo.

Maziwa ya mgando unayalaza two to three days maxmum na uwe umeyaachemsha haswa ili kuua bacteria wanaokuwa ktk chakula cha ng'ombe.
 
Back
Top Bottom