Nashukuru. Hebufafanua kulingana na uandaaji wake. Kiswahili Yoghurt ni nini?
Sijui kiswahili chake nadhani ni mgando hivyo hivyo, na utengenezaji wake unahusisha maziwa mgando na flavors zingine, yani tuseme maziwa mgando yenye ingredients nyingi nyingi ndani yake, ukitaka plain maziwa mgando ni "buttermilk"
unataka kuyatengenezaje?🙂Jinsi ya kutengeneza maziwa ya mgando, msaada jamani..