Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia Gym

Nini tofauti ya kujogg na kuruka kamba
 

Roller sio nzuri,inaumiza mgongo
 
Ili misuli itanuke inabidi kuongeza reps na set kama ulivyosema. ILA pia kwa wale wanaoenda gym wanatambua iliku gain muscle Ina bidi kuongeza uzito unaobeba. Inashauriwa ubebe mzigo mgongoni wakati unapiga push up ukiwa umeshazoea ili kujenga kifua.
Napia inabidi ufanye diamond push ili kujenga kifua cha ndani na triceps as well
 
Mazoezi bila kula ni bure kabisa. Kuna vyakula ukila vizuri mtu anaweza fikiri unaenda gym hata kama huendi.
Hakuna kitu kama hicho. Muscles haziwezi kujitengeneza pasipo a scheduled body exercises with balanced food.
 
Ni knowledge mpya kwangu asante mkuu
Yeah kaka nilijifunza katika kipind nipo university coz inaitwa principle of Heath and management kua ukitoka tiz oga without soap maana mwili pia huzalisha chemical unapopiga tiz so ile chemical inatoka kwa njia ya jasho so ukioga na sabuni ilhali sabuni ina chemical unakua unajaza chemical juu ya chemical ndio yale unaanza jikuna kuna then vimiwasho mara tuvipele due to hiz factor kuna wengine husema zile protex soap ni salama ndio wengi huzitumia but according to this education ni bora ukaoga hivihivi but maji yawe safi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…