Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
- #21
Fanya crunches, sit ups, na kama una roller itumie.Ni na tumbo la kawaida ila nataka kulifanya liwe na mkazo fulan kama six pack yaan lile tumbo hata unaweza kumruhusu mtu kukushika na asione manyamanyama au ukamruhusu akupge ngumi tumbon
Kwa kua unaanza.
Sit ups, Roller na Crunches fanya seti nne, kila seti fanya mara kumi.
Yapo mazoezi mengi ya tumbo naamini kuna wadau watakutajia ila anzia na hayo ukiwa advanced tutazidi kuongeza spices.