Fanya crunches, sit ups, na kama una roller itumie.Ni na tumbo la kawaida ila nataka kulifanya liwe na mkazo fulan kama six pack yaan lile tumbo hata unaweza kumruhusu mtu kukushika na asione manyamanyama au ukamruhusu akupge ngumi tumbon
Kama unakula na kupumzika ipasavyo wiki mbili mpaka tatu zinatosha kukuonesha ulichotaka kionekane.Samahani mkuu,nikifuata masharti ntatoka vigimbi baada ya muda gani?
Mkuu kwakua kitambi kimeshaanza kujionesha anza na kutroti (siyo kukimbia). Mfano ukienda kwenye uwanja wa mpira trot kwa raundi sita raundi ya saba na ya nane ongeza spidi lakini isikufanye ujione unakimbia. Hapa tunaepuka kupata kichomi kwakua ndiyo tunaanza kukimbia.weka ya six part maana hapa kitambi kinataka kunijia wakati nadaiwa wataona nawazarau kuota kitambi wakati wananidai
unapata nakoHaina madhara, ila zile ni mbwembwe tu ambazo haziongezi chochote.
Mkuu kati ya kujogg na kuruka kamba ipi cardio nzuriMh mkuu siyo kweli, kama maisha yako hayahusishi kupiga ngumi nako kuja ni mara chache. Mcheki Magufuli.
Kwangu mimi ni kujogg. Kwakua naweza kuamua kuongeza au kupunguza kasi kati ya raundi na raundi halafu hainikinai kama kuruka kamba (inase mguuni, ijikunje kunje unaifanyia sehemu moja).Mkuu kati ya kujogg na kuruka kamba ipi cardio nzuri
shukrani mkuuMkuu kwakua kitambi kimeshaanza kujionesha anza na kutroti (siyo kukimbia). Mfano ukienda kwenye uwanja wa mpira trot kwa raundi sita raundi ya saba na ya nane ongeza spidi lakini isikufanye ujione unakimbia. Hapa tunaepuka kupata kichomi kwakua ndiyo tunaanza kukimbia.
Kisha soma maelezo ya post namba 28.
Nuckles znaota sugu na kuwa na rangi nyeusi tiiiimimi huwa napiga push up 50 kwa mara moja,ina madhara gani kukunja ngumi?
OK ipi uko more effective katika kuchoma calories let's say nimeruka kamba for 30mins au nimekimbia at 1m/s kwa 30minsKwangu mimi ni kujogg. Kwakua naweza kuamua kuongeza au kupunguza kasi kati ya raundi na raundi halafu hainikinai kama kuruka kamba (inase mguuni, ijikunje kunje unaifanyia sehemu moja).
Kwangu bado hua naona kujogg kupo effective kushinda kuruka kamba.OK ipi uko more effective katika kuchoma calories let's say nimeruka kamba for 30mins au nimekimbia at 1m/s kwa 30mins
Ok. Vipi kuhusu boxing?Kwangu bado hua naona kujogg kupo effective kushinda kuruka kamba.
Baunsa anayetaka kujaza mwili (siyo kuukata) huwa hatakiwi kujogg mara kwa mara ila anaweza kuruka kamba hata akiwa kwenye work out yake kila siku.
Hiyo inaonesha kua kujogg kunachoma sana kushinda kuruka kamba
Unakua kwenye punching bag halafu unafanya kama unapigana na mtuSamahani sijakupata, boxing kivipi?